Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 856
Habari zenu wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo kwa wenye uzoefu na interview za tra vipi maswali yanaweza kua kwa upande gani hasa kwa nafasi ya custom officer II pamoja na Tax officer II
Naomba kwa wenye ujuzi na uelewa zaidi tusaidiane wakuu
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Eacma Ni niniKwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
Haaaaa hii kibokoKwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
Mmh! Watafeli sana interview kama maswali yatakuwa hayo.Kwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
soma sana mkuu
acha kuzunguka niwewe sio mdogo wakoHabar zenu wadau.
Jamaa wameshatoa majina ya watakaofanya Usail.
Wamenifurahisha SANA walivyotoa Majina katika mfumo wa kikanda.
Hali hii inapunguza gharama ya nauli kwa interviweee.
Hapa nyumbani kuna mdogo wangu ameapply nafasi ya Tax Officer 11
Duh! Mdogo wangu ameniuliza maswali mengi sana hivyo nikaona niwashirikishe wenzangu muweze kunisaidia maana najua humu kuna watu kutoka taaluma mbalimbali hivyo wanaweza wakatoa mchango/ushauri wao kuhusu hili.
Hivyo naomba mnisaidie.
Ivi ni maswali gani hasa HUENDA akakutana nayo siku ya usaili kwa post ya "TAX OFFICER"
Sent using Jamii Forums mobile app
mpaka utumishi wakakuita means umesomea ulicho kiomba, ila msaada kuomba sio vibaya watu wako kitaaa mwaka wa tano huu hizo desa anazikumbuka vip, yuko sahihi kuomba msaadaMnashauriwa kuomba kazi kwenye professional zenu. Uwezi kuangaika kuuliza maswali utakayo kutanana nayo.
Revenue officers mna-deal sana na non-tax revenues. So usisahau kusoma issues za property tax, sign & billbord levy, bed night levy etc
ndugu tax expert, inaonekana unafahamu sana mambo ya tax? kama ni ndio, nshauri plz, ikiwezekana npgishe msasa, m npo darRevenue officers mna-deal sana na non-tax revenues. So usisahau kusoma issues za property tax, sign & billbord levy, bed night levy etc
Cko dsm kw sasa. But ushauri wangu kwa hyo post, usisahau kupitia issue ya property tax kwani ndo current issue kwa ss TRA. Pitia sheria inayo-govern collection yake (The Urban Authorities Rating Act, pamoja na mabadiliko yake yote). Issues za Sign bord levy ss hv ndo zmeamishwa toka halmshauri kuja TRA. So nazo jaribu kupitia summary yake like rates zake zkoje, due date, who are exempted etcndugu tax expert, inaonekana unafahamu sana mambo ya tax? kama ni ndio, nshauri plz, ikiwezekana npgishe msasa, m npo dar