Pengine sikueleweka , nilikua namaanisha mleta mada ameuliza maswali mengi ambayo yote ni muhimu , nilikua nashauri alete swali moja baada ya jingine ili aweze kupata mchango wa kutosha. Nimeshangaa kuona hii lugha nisiyoijua "mlamu mtarajiwa " kwani vipiHahahah! Sijui kama wa Litola au la, ila sio ishu Ngalikihinja anaweza kujiswapia tu kama mimi nilivyojiswapia kitu cha Ushirombo! Dada utandawazi,
Ila ipo nafasi kwa mlamu mtarajiwa Ablessed kuja kuweka sawa jambo hili
Pengine sikueleweka , nilikua namaanisha mleta mada ameuliza maswali mengi ambayo yote ni muhimu , nilikua nashauri alete swali moja baada ya jingine ili aweze kupata mchango wa kutosha. Nimeshangaa kuona hii lugha nisiyoijua "mlamu mtarajiwa " kwani vipi
Mkuu kila swali ulilouliza linatosha kuwa thread moja, kwa kufanya hivyo ingekuwa rahisi sana wana jf kwenye jukwaa la MMU kukupa michango sahihi na wewe na wengine nikiwemo mimi kufaidika kufaidika na michango hiyo. Ulivyoweka inakuwa kama mtihani tena, unajibu swali then unarudi kuangalia swali linalofuata linauliza nini.
Ushauri lete thread hii katika mada tano tofauti.
Senetor zinamsumbua mwanzisha uzi; hawezi kupangilia maswali yake. Ebu mpe maji baridi kwanza apunguze kilevi....