Habr zenu wakuu na wadogo pia,bt wote mtahusika kwenye huu uzi!
1-Kwanza kabisa napenda kuwauliza inavyosikika wapenz wanasema kuwa hatuta achana kwenye shida,miteremko na mabonde huwa mna maana gani hasa?,
Hivi ikitokea mwenz wako ana cheat hiyo huwa haipo kwenye upande wa shda,mabonde au milima katika mahusiano yenu??
Upofu katika mapenzi ni kumwamini mwenzi wako kupita kiasi, yaani hata mtu akikwambia jambo lolote linalomhusu mpenzi wako unamkania bila hata kulifanyia kazi. Kwa maelezo zaidi pitia hapa cant-you-love-someone-with-all-your-eyes-clear utapata somo zuri kuhusiana na upofu katika mapenzi.2-Pia wajamen napata wakati mgumu sana kuelewa upofu wa mapenz kama ambavyo nimekuwa nikickia,toka nikiwa mdogo.
Sio kwamba mkiyafurahia mapenzi ndo mmeumbiwa mapenzi, lahasha!!!Ni jinsi tu waluvyoweza kuyahandle mambo yao, japo muda mwingine unakuta wanalumbana ila uvumilivu na usiri unawasaidia kuyavuka mabonde na milima hiyo.3-Naona kuna watu hata humu wanafurahia mapenzi,je? hawa ndo waliumbwa kwaajil ya mapenzi,na kama yes,kwanin we kila mwaka unachezea vbut na kama hapana kwa nini wewe na umpendaye msiweze?
Kila mtu hujiuliza kwa kadri anavyomtafsiri yule ampendae.4-Hiv umekuwa ukijiuliza mara ngapi kabla hujaanza mahusiono na huyo unaedhan kwamb unampenda?
5-Halafu kuna ugumu gani mtu kujua kama anapendwa na yeye akathubutu kupenda kwa dhati?
Unamaswali mengi kwani we ni polisi??
Wengine huongea maneno hayo kwa kufuata mkumbo na si kwa dhamira zao.
haya maswali sijui magumu sijui hayaeleweki mmh!!!!!!!!
how old are you?????????tuanzie hapo ndugu yangu
Mkuu kila swali ulilouliza linatosha kuwa thread moja, kwa kufanya hivyo ingekuwa rahisi sana wana jf kwenye jukwaa la MMU kukupa michango sahihi na wewe na wengine nikiwemo mimi kufaidika kufaidika na michango hiyo. Ulivyoweka inakuwa kama mtihani tena, unajibu swali then unarudi kuangalia swali linalofuata linauliza nini.
Ushauri lete thread hii katika mada tano tofauti.
Inawezekana ni mkubwa kiasi cha kukuowa au kukubebesha mimba au kukushugadadi... Upo hapo?how old are you?????????tuanzie hapo ndugu yangu
Inawezekana ni mkubwa kiasi cha kukuowa au kukubebesha mimba au kukushugadadi... Upo hapo?
saudari,
inakuwa raha wapi maana kuna upand unalia