Hakuna mkuu hiyo cloud.mail.ru ni nzuri sana na ni ya fauti na cloud nyingine iyo inabaki kuwa kama app ya simu like GalleryMkuu Hamna njia ya kuongeza space bila kutumia cloud?! Yani kuongeza internal ya simu bila kuweka app nyingine?
asntIpo Inaitwa Recuva inarudisha data na files zote kwenye simu na pc
Tecno w5 haipandi kabisa hapo ndio mwisho
Ipo njia download hapa inaitwa sd file managerSimu yangu ni tecno WX3 nataka amisha vitu kwenye memory kadi lakini mzigo haundi baada ya kugoogle nikaona sehemu kuwa hizi simu Google wamezifungia huwezi amisha vitu kwenye SD vp kuna app au njia nyingine yakufanya maana nashindwa enjoy kabisa aka kasimu kangu
Msaada mkuu mi natumia simu ya tecno spark ila inazingua kwenye screen record yani kila app nitakayo tumia inaandika insufficient ram screen record will stop soon unaweza nisaidia jinsi ya kuongeza ram kwenye cmNikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu....na ushauri wa app muhimu kuwa nazo kwenye simu.......je simu yako ina nafasi ndogo? Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele? ...
NAKARIBISHA MASWALI........
Mkuu inapatikana play store on Google?Ipo Inaitwa Recuva inarudisha data na files zote kwenye simu na pc
Lkn tutamtia mashakani....maana hiyo kitu haitakiwiMaelezo yote weka hapa kaka wengi tujifunze, huko PM si kuzuri.
Kumbe kuongeza nafasi ya simu mfano 8GB to 16GB basi ana 'danlodi' tu hiyo 'cloud.mail.ru'!!..😱😱Kuongeza nafasi download app inaitwa cloud.mail.ru ....Kubadili imei issue inategemea na aina ya simu yenyewe kwa zaidi ni PM
Tumia google photos, google contact na google drive!.. Acha kutumia website za uchochoroni hizo utakuja umia!..Haingozeki kuwa hivyo kama siku yako ni 8gb inabaki hivyo/ila cloud.mail.ru inakuwa kama external memory
Hizo zote hazigusi kwa cloud.mail.ru mzee maana pia hiyo hao hao google wameilist kama app bora ya mwaka umekariri ila jifunze zaidiTumia google photos, google contact na google drive!.. Acha kutumia website za uchochoroni hizo utakuja umia!..
mie simu yangu ina storage ndogo unanisaidiajeNikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu na ushauri wa App muhimu kuwa nazo kwenye simu.
Je, simu yako ina nafasi ndogo?
Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele?
NAKARIBISHA MASWALI........