Maswali kuhusu Professor Daniel Mkude, Lecturer + Padri

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,958
Reaction score
2,286
Habari, hebu naomba wenye uelewa na wale walopita UDSM na MZUMBE mnisaidie dukuduku langu

Natumai jina la professor DANIEL MKUDE mnaweza mkawa mnalifahamu, alikuwa ni padre pale UDSM pia ni professor CASS. Pia aliwahi kuwa chairman wana bodi ya mzumbe university. Sasa swali na dukuduku langu ni

1. kwa nini aliajiliwa katika taasisi za serikani na hakufanya kazi katika vyuo vya kanisa
2. je vipi kuhusum mshahara alokuwa anaupata?
3. nilitegeme angekuwa na mchango mkubwa TEC kwani ni very professional lakini hayuko huko
4. wanaojua je sasa yupo wapi? bado mzumbe au UDSM??
 
Mapadri wa hapa kwetu ndio wauchukulia upadri kama taaluma na kazi. Muda wote wapo kanisani kuandikisha na kutoa vyeti vya ndoa, ubatizo na kipaimara, kazi zinaweza fanywa na masista au watawa wa chini. Mapadri wetu hawataki kusoma kupata taaluma na kufanya kazi nje kanisa. Kuendesha misa ni huduma na ni jumapili. Wamebweteka na sadaka, zaka, mafungu ya kutegemeza kanisa na kufagiliwa nyumba na uwanja bure na waumini.
 
Mimi naona Hayo mambo waachie yawahusuyo.

RubiiKimimi
 
Mapadri wa hapa kwetu ndio wauchukulia upadri kama taaluma na kazi. Muda wote wapo kanisani kuandikisha na kutoa vyeti vya ndoa, ubatizo na kipaimara, kazi zinaweza fanywa na masista au watawa wa chini. Mapadri wetu hawataki kusoma kupata taaluma na kufanya kazi nje kanisa. Kuendesha misa ni huduma na ni jumapili. Wamebweteka na sadaka, zaka, mafungu ya kutegemeza kanisa na kufagiliwa nyumba na uwanja bure na waumini.
Ahsee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa lina nguvu kazi ya kutosha. Hata leo bado mapadre wanafanya kazi udsm. Kuna Fr.Shukrani mbirigenda ambaye ni lecturer pale lIDS. Wapo wengi pia philosophy department kama Dr.celestine Muhoza na hata sub-dean of student Fr.Mng'aho kipindi nasoma hapo.

Hata paroko msaidizi wa parokia ya chuo kukuu anafundisha ARDHI University
 
Yes Ardhi Fr Henry
 
What about Mbiku?
 
Hawa jamaa wanakuwa na mambo mengi hasa mapadri wa mashirika, kuna mmoja namfahamu vizuri ni mbongo ila now yupo iraq. Alikuwaga marekani alikuwa anapiga gwanda la US Army. Mwingine alikuwaga bongo akaenda Nairobi then akapangiwa Sudan, baada ya kutengana akaenda South Sudan. Baada ya machafuko akarudi Mombasa then akarudi bongo. Akapelekwa Venezuela baada ya machafuko karudi Bongo
 
Mbona mnataja mapadre tu?
Tajeni na masheikh waliofundisha vyuo vikuu enzi hizo.
Lini tunaona hii = Dr. Sheikh Uledi Ph.D (Dar) M.A hons Oxford. BA east Africa
 
Sio lazima afanye kazi kwenye vyuo vya kanisa maana sio sheria na kuhusu mshahala wake hilo ni suala lake na wakubwa wake pia wapo watawa ambao wanafanya kazi ata hospital za kawaida ukiachana na upadre wake kama ana profession fulan anaajiriwa tu
 
badae utauliza kwa nin padre analima au anafuga....
kumbuka padre kufanya kazi yoyote hakumzuii kusoma misa....
kuna parokia **** kulikuwaga na paroko mzungu but ni mwanajesh huko kwako....na alishaendaga kupigana huko kwao akuwa padre
 
Mapadri wa hapa kwetu ndio wauchukulia upadri kama taaluma na kazi. Muda wote wapo kanisani kuandikisha na kutoa vyeti vya ndoa, ubatizo na kipaimara, kazi zinaweza fanywa na masista au watawa wa chini. Mapadri wetu hawataki kusoma kupata taaluma na kufanya kazi nje kanisa. Kuendesha misa ni huduma na ni jumapili. Wamebweteka na sadaka, zaka, mafungu ya kutegemeza kanisa na kufagiliwa nyumba na uwanja bure na waumini.
Mkuu umewakosea sana waakatoliki (collectively). Sidhani kama kuna dhehebu linasomesha watu wake kama RC. Kama lipo basi nisaidie kulifahamu. RC imekuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji na maendeleo ya taifa letu kupitia nyanja mbali mbali kama elimu, afya, nk.
 
Back
Top Bottom