Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Kwani wameshatoa matokeo???Kiongozi vp ? Umeitwa kwenye oral au tusubil nyingine?
Kwani matokeo yameshatoka?Kiongozi vp ? Umeitwa kwenye oral au tusubil nyingine?
Warembo sii ndio utakuwa unawala utakavyo hapo mzeya.Mkuu Mambo ya warembo yanaingiaje hapa [emoji23][emoji23].
kwa hali hii kunakutobooa kwel
Matokeo bado mkuu, ila kwa ile paper matumaini bado 50 kwa 50
Probably Website ya SUA
Wametoa kupitia website ya sekretarieti ya ajira.Probably Website ya SUA
washatoa tokeo... ni kumenyeka tenaWametoa kupitia website ya sekretarieti ya ajira.
Tokeo nalipata wapwashatoa tokeo... ni kumenyeka tena
utumishi walipost na pia kwenye account yako ya ajira portal.Tokeo nalipata wap
Aisee pole sana mkuu.. hata hivo inawezekana watu wengi hawajapata taarifa maana kwa kada yangu tulikuwa shortisted kama 89 interview tukafanya kama 24Yani nimejua leo baada ya kusoma huu uzi kwamba nilikua shortlisted. Haikua bahati.