Masters

obert

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
42
Reaction score
3
Habari wanajamvi,nataka kusoma masters OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA naomba anayejua cost zao na course zinazopatikana OUT
 
Nenda open ukapate ukweli wa kila jambo ili uchanganue mwenyewe kwa uwakika zaidi maana open ipo kila pembe ya Tanzania.
 
Kwani wewe ni mwanasiasa aliyekosa vigezo vya kielimu?
 
Siwazagi hayo mambo miye,nimemaliza 2012 degree yangu ya kwanza
 
Cheki na link híí utapata kila kitu unachotaka kujua; out.ac.tz
 
Heeh! Kumbe Open Univ. ni cha wanasiasa; na wakosa vigezo?!

alokwambia nani? Ukiwa na mentality hiyo utapata tabu sana siku zote unapotaka kufanya kitu cha maendeleo akili ku mkichwa ukitaka kufuata ushauri wa watu na maneno yao ull stuck mwisho wa siku wewe ndo mwamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…