Mkuu inawezekana. Kazana!! Mimi nina BS ya EE nataka kupiga neuroscience (computational) na i hope nitaenda phd moja kwa moja. Bila msc
Habari zenu wana Jamii forum. naomba kuuliza kama ili linawezekana maana liko nje ya uzoefu wangu..
Nimepata scholatrship ya kusoma Japan (masters degree by research). sasa baada ya kuaply kwenye chuo nimepata admission letter, admission letter inasema nimekuwa admitted for a Doctoral course. So ikabidi nimuulize Prof atakayenisupervise, Prof akasema inaonekana nimekuwa admitted for PhD, so itabidi niende moja kwa moja kwenye maabara (laboratory) yake nifanye PhD. sijawai kuona mtu anafanya ivo, wasi wasi wangu ni kuwa inawezekana? isije kuwa unafanya ivo afu mwisho wa siku unarudi Bongo unaambiwa ah ile ni training tu bana. naomba ushauri wenu wakuu kabla sijafanya undertaking yoyote...ni Doctoral course in biomedical sciences.
natanguliza shukrani kwenu wakuu.
Mkuu labda haujanielewa,,nimesema nimekuwa admitted for a Doctoral course,,meaning naingia direct kufanya PhD, so ntaskip masters, ndo maana nikauliza inawezekana? otherwise upara sio shida maana kwa sasa ninao tiyari.Kwa Japani wna kitu hicho. Ila utakaa huko mpaka upara ukutoke. Utaanza research miaka 2 ya masters na baadaye miaka 3-4 ya PhD. Ndivyo wananvyofanya.
Mkuu labda kwa kuwa una plan izo unaweza ukaelewa zaidi, kuna utaratbu wowote unafuatwa? ama uwa ni maamuzi ya mtu tu.
Mkuu labda haujanielewa,,nimesema nimekuwa admitted for a Doctoral course,,meaning naingia direct kufanya PhD, so ntaskip masters, ndo maana nikauliza inawezekana? otherwise upara sio shida maana kwa sasa ninao tiyari.