Walimaliza jana na juzi, kesho ndo wataanza usaili, accomodation bhana inanikumbusha mbali sana, nililipa zamani sana ila ni hivi karibuni, wanavyolipa inachekesha sana lakini inahuzunisha, upatikanaji wa nafasi ni rahisi sana lakini kupata ni kazi kweli, ile full time ndo changamoto yaani unapata kilaini huku ukiangalia unavyokosa taratibu, evening classes huwa haina mwisho lakini ukichelewa uruhusiwi kusoma ingawa utasoma kwa raha iloyoambatana na shida lukuki ila chache. Masters ya education UDOM bhana, ina mambo!