iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Ndiyo. Thesis inatumika kwa mtu anayeanza kusoma moja kwa moja kuanza kuandika research proposal na kuendelea na research yake. Wanaosoma kwa CW wanapiga kwanza pindi na mitihani ndo baadaye waende research. Ujinga wa CW ukishafikia hatua ya kuandika proposal na research hauna tofauti na mtu wa thesis, japo kwenye weight mtu wa CW anafanya dissertation (siyo thesis). na Dissertation ni partial fullfilment wakati Thesis ni fulfilment

Unawapotosha watu mkuu.Nmefatilia hivi karibuni, vyuo vingi kama ulipata GPA ya 3.5 na kuendelea masters yko hautokuwa na course work, ila kam gpa ya chini ya 3.5 maana utapiga coursework
Well said mkuuUnawapotosha watu mkuu.
Ipo hivi,
Mwenye GPA ya 3.5+ na kuendelea kwenye undergraduate ndiye anaruhusiwa kusoma Master kwa Thesis,
Wakati mwenye GPA ya chini ya hiyo haruhusiwi (hana kigezo cha) kusoma Master kwa thesis.
Wakati upande Master kwa Course Work na Dissertation, yeyote mwenye GPA ya kuanzia 2.7 kwa undergraduate, anaruhusiwa (anakidhi vigezo vya) kuisoma.
IKUMBUKWE:
Baada ya kuhitimu,
Master kwa Thesis haina GPA,
bali hupewa daraja la "PASS",
Wakati Master kwa Course Work & Dissertation ina GPA.
Na kwa wale wenye malengo ya kusoma Master ili waje kuwa wanataaluma Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers),
Wanapaswa kuwa na ufaulu wa GPA ya 3.8 ili wafundishe vyuo vya kati na 4.0 ili wafundishe vyuo vikuu.
Wakati kama walisoma Master kwa Thesis (ambayo haina GPA), watalazimike watoe angalau machapisho mawili (publishing two papers) katika majarida ya kitaaluma (journals) yanayotambulika, ndipo waweze kufundisha vyuoni.
Unawapotosha watu mkuu.

Muhas masters ni masters. Haina masters by thesis wala coursework. Viva muhasMasters by course work na by thesis tofauti yake ni nini hasa?
😅😅😅Ila nachojua ile kuzungushwa ndo wanapenda kifupi hawezi kukubali kirahis na haitoweza kutokea .Mfano wa dissertation
Facult business management. Ie hrm
TOPIC
The role of human resources in creating a respected working environment that contributes in sustainable revenue growth
Research Aim:
The research aims to examine the role of human resources in creating a respected working environment and sustainable revenue growth.
The study will identify current misunderstandings and disparities in understanding of topics such as sustainable development, corporate social responsibility, and the link between strategic human resource management and sustainable Human resources management through a comprehensive literature review. It will also identify and recognise the challenges that sustainable human reaources management encounters in reality, with a particular emphasis on the prevalent strategic HRM schema and the misunderstanding of corporate social responsibility.
Unaenda kesho unaambiwa hakuna kitu rudia tena umeandika majongoliko tu
Ndio utajua kuwa lecture anavyonyenyekewa kwa hali ya juu
Rejea nilichokiandika mkuu,[mention]Udochi [/mention] mkuu niulize kitu
Mfano mtu ana first clasa kwenye degree ya kwanza harusiwi kusoma masters of coursework and dissertation kwenye vyuo vya full time kama udom, mzumbe n.k
Vizuri sanaUnawapotosha watu mkuu.
Ipo hivi,
Mwenye GPA ya 3.5+ na kuendelea kwenye undergraduate ndiye anaruhusiwa kusoma Master kwa Thesis,
Wakati mwenye GPA ya chini ya hiyo haruhusiwi (hana kigezo cha) kusoma Master kwa thesis.
Wakati upande Master kwa Course Work na Dissertation, yeyote mwenye GPA ya kuanzia 2.7 kwa undergraduate, anaruhusiwa (anakidhi vigezo vya) kuisoma.
IKUMBUKWE:
Baada ya kuhitimu,
Master kwa Thesis haina GPA,
bali hupewa daraja la "PASS",
Wakati Master kwa Course Work & Dissertation ina GPA.
Na kwa wale wenye malengo ya kusoma Master ili waje kuwa wanataaluma Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers),
Wanapaswa kuwa na ufaulu wa GPA ya 3.8 ili wafundishe vyuo vya kati na 4.0 ili wafundishe vyuo vikuu.
Wakati kama walisoma Master kwa Thesis (ambayo haina GPA), watalazimike watoe angalau machapisho mawili (publishing two papers) katika majarida ya kitaaluma (journals) yanayotambulika, ndipo waweze kufundisha vyuoni.
Rejea nilichokiandika mkuu,
Master ya Course Work & Dissertation wanaruhusiwa kuisoma watu wote wenye GPA ya kuanzia 2.7 hadi 5.0,
Ila ya Thesis wanaoruhusiwa ni wale tu wenye kuanzia 3.5 hadi 5.0.
Tafsiri yake hapa ni kwamba,
Mwenye undergraduate GPA ya kuanzia 3.5 hadi 5.0 ana uhuru wa kuamua/kuchagua ama asome Master kwa Thesis au asome kwa Course Work & Dissertation.
Wakati mwenye GPA ya 2.7 hadi 3.4 hana/hapati uhuru wa kuamua/kuchagua asome kwa mfumo upi,
Yeye analazimika moja kwa moja kusoma kwa Course Work & Dissertation tu.
Umeeleza vizuri kabisa
Ni kweli ila kuchomoka kwenye Thesis ndio kazi mkuuThesis ni unyama sana ila coursework una improve skills kwa hali ya juu
Vipi kwenye soko la ajira yupi anatoboa kati ya by Thesis au by coursework & Dissertation hasa kwa yule anayetaka kuwa academicianUnaposema ya CW ni nzuri inategemea unasomea chuo gani. Kwa Chuo kama UDSM bora upige tu thesis. Unaposoma by Coursework unapigishwa kwata la nguvu kwenye CW. Alafu mwishoni unamalizia na Dissertation ambapo kwa UDSM uzito wanaoweka kwenye dissertation na thesis tofauti ndogo sana
Kwa Academician wa Thesis anakubalika zaidi ila uwe umepublish Thesis yakoVipi kwenye soko la ajira yupi anatoboa kati ya by Thesis au by coursework & Dissertation hasa kwa yule anayetaka kuwa academician
Jitu na maanvi upo unasomeshwa watt àu familia imesimama kila kitu wanaojiþambua hufanya thesisNimekusoma kumbe by coursework ndio nzuri
Nilichokiona hapa jf kila mtu hujifanya anajua japo hawajui ww ndo umemaliza kila kitu ndugu zangu kama hujui usihifanye kama mwanamke eti kwa vile ana k tu hua anajifanya kuringa kumbe k ni kama nyaya inayouzwa masaki na binyokwa ya masaki nzr na bei juu cause ni kwa vle ipo masaki imeongezewa rhamaniUnawapotosha watu mkuu.
Ipo hivi,
Mwenye GPA ya 3.5+ na kuendelea kwenye undergraduate ndiye anaruhusiwa kusoma Master kwa Thesis,
Wakati mwenye GPA ya chini ya hiyo haruhusiwi (hana kigezo cha) kusoma Master kwa thesis.
Wakati upande Master kwa Course Work na Dissertation, yeyote mwenye GPA ya kuanzia 2.7 kwa undergraduate, anaruhusiwa (anakidhi vigezo vya) kuisoma.
IKUMBUKWE:
Baada ya kuhitimu,
Master kwa Thesis haina GPA,
bali hupewa daraja la "PASS",
Wakati Master kwa Course Work & Dissertation ina GPA.
Na kwa wale wenye malengo ya kusoma Master ili waje kuwa wanataaluma Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers),
Wanapaswa kuwa na ufaulu wa GPA ya 3.8 ili wafundishe vyuo vya kati na 4.0 ili wafundishe vyuo vikuu.
Wakati kama walisoma Master kwa Thesis (ambayo haina GPA), watalazimike watoe angalau machapisho mawili (publishing two papers) katika majarida ya kitaaluma (journals) yanayotambulika, ndipo waweze kufundisha vyuoni.
Wakati wewe una dreams za kufanya kazi kwenye Academia and Research, Industry Specialist, Think Tanks and Policy Development, Entrepreneurship, Innovation, Knowledge Management and Communication...Nimekusoma kumbe by coursework ndio nzuri
Kwenye ajira haiweki tofauti yoyote. Sema wa coursework anakuwa na advantage ya kuwa na coverage ya vitu vingi alivyosoma akiwa darasani wakati wa thesis anakuwa amespecialize kwenye hicho kitu kimoja anachoenda kufanyia researchVipi kwenye soko la ajira yupi anatoboa kati ya by Thesis au by coursework & Dissertation hasa kwa yule anayetaka kuwa academician
FS you are so poor kwamba hujui kuna profession ya Food and Nutrion na watu wababukua mpaka Phd?Uzi wa masters upo "Jf Chef??"
Sawa rich dude, but unalijua jukwaa la education? Huko ndiyo mahususi kwa ajili ya issues za education hata kama ni za food and nutrition na ndiyo maana hata huu uzi umepelekwa huko tofauti na ulivyokua kwenye jukwaa la mapishi, you have excelled at what?...FS you are so poor kwamba hujui kuna profession ya Food and Nutrion na watu wababukua mpaka Phd?