Masters of Veterinary Medicine

Shadow120

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??
 
Mi nadhani wewe mhusika ndio unatambua umuhimu wa kuisoma hiyo shahada ya pili kulingana na mipango, malengo yako na fursa zinazoweza kupatikana kutokana na wewe kuwa na elimu hiyo kwa ngazi hiyo.
 
Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??
Ile MVM ilishafutwa muda mrefu na badala yake ziko masters za aina nyingi (ingia SUA website). Turudi kwenye swali la msingi member hapo juu ameiweka vizuri sana. Jiuize unataka kuchukua Masters ili iweje? Una malengo gani. Pima faida na hasara zake halafu amua.
 
Wakuu swali langu ni kwamba, je ni muhimu kuendelea na masters ya VM endapo umekidhi vigezo au ni upotezaji mda Tu??
Kama umepata connection piga ,but Kama auna utakuwa unapoteza tuuuuuuuuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…