Masters of Public Health

Masters of Public Health

Billy Graham

Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
11
Reaction score
24
Mimi ni Mwalimu wa Masomo ya sayansi. Nataka nirudi shule 📘
Vipi kuhusu hii course ya Public Health nasikia inalipa.

Naomba maoni yenu wakuu. Natanguliza shukrani.
 
Gharama za hii kitu zipo juu

H.Kairuki 8.9M
UDSM 7.5M
MUHAS/ CUHAS 8-9M
Nelson Mandela 7.9
 
Application kwa intake ya October 2019 si itakuwa imeshafungwa au hata mwakani?

Unaweza kuwa umechelewa kabisa kwa mwaka huu lakin ukienda chuoni directly wanakupokea sababu wanafunzi wa MPH huwa ni wachache kwa idadi.
 
. Vp kuhusu masters of Biochemistry wakuu?
Masters of Science in Biochemistry inatolewa na hivi vyuo Tanzania

::UDSM ada n 4.3M
::SUA ada n 7.6M
:: MUHAS ada mpka 8M

Na zote zinatofautiana kulingana na chuo husika maana zipo kwenye faculties tofauti kwa kila chuo

Ni Masters ambayo haina watu wengi hapa kwetu na ukiangalia selection ni wachache wanaoaply
Labda kwa kua haijazoeleka

Nawasilisha
 
Nashukuru

MPH Mara nyingi huwa na soko kubwa ktk NGOs na taasisi mbalimbali kama una background ya afya katika shahada ya kwanza. Ila kwa biochemistry kwa nchi hii sana sana inahitajika kwa waalimu wa vyuo!!.
 
Masters of Science in Biochemistry inatolewa na hivi vyuo Tanzania

::UDSM ada n 4.3M
::SUA ada n 7.6M
:: MUHAS ada mpka 8M

Na zote zinatofautiana kulingana na chuo husika maana zipo kwenye faculties tofauti kwa kila chuo

Ni Masters ambayo haina watu wengi hapa kwetu na ukiangalia selection ni wachache wanaoaply
Labda kwa kua haijazoeleka

Nawasilisha

Ogopa kusomea taaluma mpya kwa bongo lazima upate tabu
 
Back
Top Bottom