Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 448
Undergraduates ulimaliza chuo gani?
Gpa kawaida n 2.7 ila kwa udsm ukiwa na 3 sio mbaya mba ipo ata evening class so n ww TU na ada yako but nahis Ni lazima usome postgraduate diploma ya ba
Nimesoma MBA na darasa letu tulikuwa na watu wenye degree za kwanza manunuzi, wanasheria, marketing, journalism nk.
Kuna baadhi ya masomo yenye hesabu nyingi kidogo niliona walivyolazimika kuongeza nguvu ya ziada ila walitoboa.
Ni wewe tu na kichwa chako.
shukrani sana mkuuMi nilikuwa UDSM.
USHAURI.
MBA nyingi sasa zina specialization toka mwanzo na nyingine mwaka wa 1 ni general na wa 2 unaspecialize...
Nimekusoma kiongozi ulisoma chuo gani kama hutojali na fees structure ipoje? nataka kusoma MBA-Marketing au Logisticts and supply sio accounting wala finance
Mi nilikuwa UDSM.
USHAURI.
MBA nyingi sasa zina specialization toka mwanzo na nyingine mwaka wa 1 ni general na wa 2 unaspecialize.
Pia angalia masomo utakayosoma au course contents itakupa mwongozo chuo cha kwenda.
Ziko mpaka MBA za mwaka 1 na MBA za Executive programme.
FEES structure inabadilika kulinganga na chuo, aina ( full time, executive au evening programme)
Pitia mitandao yao ndo utapata picha.
Vibaya saaana.Broo unafanyia kazi hiyo MBA yako??
Vibaya saaana.
Ukitaka raha ya MBA usisome bila malengo.
Chukua specialization ya MBA kwenye eneo la mapungufu yako.
Mfano kama umesoma sheria ina maana mamagement skills zako inabidi ziboreshwe kama unataka kuwa kiongozi mzuri. Kama ni mtu wa fedha, dozi yako ya uongozi inabidi iimarishwe. Kama uko kwenye masoko boresha hapo nk
MBA ya mwaka mmoja chuo gani mkuu?Mi nilikuwa UDSM.
USHAURI.
MBA nyingi sasa zina specialization toka mwanzo na nyingine mwaka wa 1 ni general na wa 2 unaspecialize.
Pia angalia masomo utakayosoma au course contents itakupa mwongozo chuo cha kwenda.
Ziko mpaka MBA za mwaka 1 na MBA za Executive programme.
FEES structure inabadilika kulinganga na chuo, aina ( full time, executive au evening programme)
Pitia mitandao yao ndo utapata picha.
mkuu kwema? kuna uhitaji wa experience kwenye kuapply?Nimesoma MBA na darasa letu tulikuwa na watu wenye degree za kwanza manunuzi, wanasheria, marketing, journalism nk.
Kuna baadhi ya masomo yenye hesabu nyingi kidogo niliona walivyolazimika kuongeza nguvu ya ziada ila walitoboa.
Ni wewe tu na kichwa chako.
Vipi na kwa mtu ambae bado hajaanza kazi na anataka kusomea hiyo course una mshaurijVibaya saaana.