B Bodabodafasta JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 372 Reaction score 372 Aug 24, 2018 #1 Ninaomba kuuliza kuhusu chuo wanachotoa masters ya transport economic/logistics/ or master ya procurement ...... Taarifa ninazozihitaji zaidi ni kuhusu gharama ya chuo; ubora wake na sehemu nilipo..
Ninaomba kuuliza kuhusu chuo wanachotoa masters ya transport economic/logistics/ or master ya procurement ...... Taarifa ninazozihitaji zaidi ni kuhusu gharama ya chuo; ubora wake na sehemu nilipo..