Master Of Bling Bling

Huyu kweli sonara yaani anawapenda sana wasanii na ma kaka poa na KK na hizo ndo zao
 
huyu inabidi afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili
 
Huyu either ni mchawi, au ana matatizo ya akili, au vyote pamoja.
 
Huyu either ni mchawi, au ana matatizo ya akili, au vyote pamoja.

Angekuwa mzungu mngempongeza
Kwa kujaribu kuweka rekodi mpya ya guiness

Mwafrika .......ooohhh ni mchawi au hana akili.
 
Angekuwa mzungu mngempongeza
Kwa kujaribu kuweka rekodi mpya ya guiness

Mwafrika .......ooohhh ni mchawi au hana akili.
Autorun,

Labda wapo ambao wangefanya hivyo, ila mimi siyo mmoja wao. My comment would remain the same, regardless of the race.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…