Master j jana kachemka vibaya bss


tuwasamehe wa2 wengine km mr j ni wavivu wa kufikiri
 

Nashangaa nyie mnasikitika hio ya kuwaita washamba kuna comment kama @ Master J ....wewe ni NDUNDUMA ....ni linzi wangu wa geitini . Mimi huyu ndunduma namfahamu kidogo ni retard kwa hio alimtukana Ndunduma mwenye na yule kijana aliyeshika no. 2 ambaye alikuwa anajua kuimba kuliko mkata viuono wa taarabu. @ Ritha alisema mm ni chief judge na ndio mwaandaaji wewe ....alieshinda...ndio mshindi wangu piga ua hata kama nitapigwa chupa.

@ Salama alisema kwa mzungu ...if u win this am gonna shut myself on the head men........
 

mtu kama huyu dawa ni kujamiiana na demu wake...sijaangalia haya madudu ila maneno yake hayavumiliki!
 


Binafsi zikufurahishwa kabisa hata na huyo Rita aka madam mana alikuwa amelewa hata jicho lake lilionesha zahiri. Majudge hawakuwa na nidhamu kabisa na dhahili walikuwa wakituchagulia mshindi. Kwa mfano kuna muda Salama alidai mshindi wake ni yule bella kombo na Ritha naye akasema huyo then alipokuja Marium wote wakahamia huko tena kwa nguvu zote. Pia Salama akawaponda wanamusiki wakongwe wa taarabu kwamba wakiitwa kuperform ktk BSS wanataka mshiko mrefu wawadanganye hao hao bongofleva wanaotaka kuuza sura sio kupata maslahi ya jasho lao. Hawakumtaka mzungu lakini wana judge mzungu ambaye alijitahidi kidogo japo sometimes alijiingiza katika mtego wa Rita el al. Kama hawakutaka mzungu ktk BSS wangeweka terms za kuchagua washiriki next time tutajakuwa na top 10 wageni tu. Na judge mzungu nae akawaponda wakenya kiaina et ingekuwa kenya pyne angetolewa mapema sana kumbe hakujua j,rita na kimbaumbau Salama wana mpango upi. Tusiwalaumu bila kuwashauri, ushauri

1. Jifunzeni kwa wengine (American idol et al)

2.Wekeni vigezo vya kuchagua washiriki ambavyo nafsi zenu hazitapingana navyo.

3.Haina sababu ya kuwaita wanamusic wazoefu kuimba na wale wa BSS hii naiona ilikuwa kama kutafuta pesa kinguvu. Wazoefu waperform alone kama waalikwa na sio kupanda nao kama BSS. Mana ninyi hamjatulia mlikuwa mkiwajudge nao.

4.BSS siyo ya bongo tu pelekeni na mikoani wakaperform huko.

5. Msichague washindi ninyi. Ninyi mjudge mtu kulingana na anavyoperform sio kumchukia na kuwashawishi watz kumchukia. Haifai inaweza kuondoa amani ukumbini na ndo maana ikafika mahala hakuna maelewano.

Watz tunapenda music hata kama mmefanya madudu juzi(mlilewa nyie ) tutaangalia na kuhudhuria next time. Madam Ritha hiyo ni kazi kubwa take care of it sio kuleta walevi hapo hebu chukua wataalamu wengine wa music wafanya hiyo kazi. J acha kumsonya Salama kama vile we ni mtoto au demu mkubwa na wala msitukanane ktk kujudge tafuteni umaarufu kwa amani si kuponda.
Waziri mwenyewe alimkubali Ritha na Salama J alikustukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…