Mumewangu19
New Member
- Apr 28, 2019
- 4
- 2
Kozi hii uipate katika NGO's inalipa sana au mashirika ya kumataifa ila huku kwetu katika serikali ajira zake ni chache sana kutokana na uhtaji wake na kutokujua thamani ya M&EWakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje
natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia
Mkuu,shukran kwa msaada.naomba ushauri,baada ya kumaliza master ya hii kozi with no work experience,wapi nianzieKozi hii uipate katika NGO's inalipa sana au mashirika ya kumataifa ila huku kwetu katika serikali ajira zake ni chache sana kutokana na uhtaji wake na kutokujua thamani ya M&E
Jaribu katika mashirika ndio utapata experience kubwa kuliko katika serikali ila ukipata katika mashirika ya ukimwi ndio mazuri zaid mana yana wigo mpana wa M&E na Mara nyingi wanafanya M&E robo,nusu,na mwaka ili kujua utendaji na uwajibikaji wa site zao na malengo walio wawekea target katika kila quarter nadhani itakusadia sana.Mkuu,shukran kwa msaada.naomba ushauri,baada ya kumaliza master ya hii kozi with no work experience,wapi nianzie
Ila nashauri ukasome postgrad ya mwaka mmoja pale Institute of Project Management kwa mwaka mmoja.
Kwanini pale?Ila nashauri ukasome postgrad ya mwaka mmoja pale Institute of Project Management kwa mwaka mmoja.
Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje
natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia
Nenda open universityWakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje.
Natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia.
Kwanini open?Nenda open university