RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
hapa bongo tuna mastaa mbalimbali wa fani tofauti,, lakini mastaa hao wamekuwa na mambo ya kuchekesha kama sio kuudhi, mastaa wa bongo wanapenda kuonekana kwenye magazeti, kiki zisizo na msingi kujifanya sio waTZ ni waingeleza na viswainglish vyao uku fani zao zikizidi kuyumba angalia bongo movie imepoteza mvuto na kumbuka enzi za kanumba alikuwa sio mtu wa kiki, ilikuwa kazi tu,,kama english alikuwa anajua kama kucheza kama tahira alikuwa anaweza kama kucheza kama millionaire alikuwa anaweza sasa angalia sasa hivi hamna kitu. lakini staa kama samatta nanayecheza GENK-BELGIUM, dogo ana jua mpira kama umaarufu anao pesa anazo lakini dogo hajitapi hapendi kiki za kijinga kama hawa wenzetu. jamani mastaa wa bongo badirikeni fanyeni kazi acha kiki za kipuuzi
haaaaa nimewapa za uso mastaa uchwara wa bongoSubiri waje naona hii bado ni ya motomoto
haaaaaa akina gigy money eti samatta alimtongoza gigy akakata duuuu hawa mastaa bwanaKuna star bongo ? Au ndo hivyo vibabu akina Ngassa ??
kwani wema alikuwa anamtaka samatta?Samatta nilipo mkubali ni pale alipoweza kukikwepa kikombe cha WEMA maana mastaa wengi huwa wanapoteana pale...
Hilo huwa linajulikana baada ya kuwa mhusika ameshadakwa ndio utajua somebody ana date na wema.. Ila katika process huwa ni kimya kimyakwani wema alikuwa anamtaka samatta?
duuuu ndo kamanda siku hizi sijui ameachaHilo huwa linajulikana baada ya kuwa mhusika ameshadakwa ndio utajua somebody ana date na wema.. Ila katika process huwa ni kimya kimya
ndo hivyo kiki za akina wema na shilole hazikuzi vipajNi kwel maan leo utasikia hv wengne utasikia vile tumechok tunahtaji kaz
haaaaa akina hamorapa ndo mastaa wa bongoWote zilo maan bora niangalie movie nisioelewa lugha kuliko bongo movie