Mnara kama mnara [emoji1][emoji1]Et
tunaweza kuubomoa huo "MNARA"[emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732]
HatariMnara kama mnara [emoji1][emoji1]
😂Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya raining hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
Eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....Yan ndo unagundua leo? [emoji1][emoji1]
Hapo lazima kuwe na happy ending acha ushamba..
Ebu nipe location na namba zao.
Mmmh huko kwenye training watu hawakula mbususu kwel ? Na mijamaa tofauti tofauti kwelKuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya raining hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
Ngja niset notificationsUo mrejesho hakikisha unauleta hapa weekend mapema sana, il tujuwe uo mnara wa babel watauangusha vip
Sita tu?eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....
kwanza picha la kikorea linaanza kabla hata ya kuvua nguo wanajipanga mabinti 6 eti uchague wa kukufanyia massage ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Aiseee hii dunia hapana
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mnachelewa kweli kufanya dhambi. Hivi vitu ni vya siku nyingi sana.