Losambo kuna kingine zaidi hapo. Tazama jinsi hizo Bendera hapo hatua ya mwanzo(Zimeshikana), kisha tazama hizo bendera hatua ya mwisho kabisa zimeachana halafu Bendera ya MABADILIKO imepaa zaidi na
Zaidi.
Maana alomaanisha ni bendera ya ccm ina alama ya X ikimaanisha kosa na ya chadema ina alama ya vdole viwili ikimaanisha V au tiki au vemaa hahahahahahahaahah hapo vp????
Pia ukiangalia kwa jicho la Tatu utagundua Masoud Kipanya alikuwa anataka kutuonyesha mchuano wa vyama vya CCM na CHADEMA(UKAWA) katika ngazi zote tatu. Udiwani(Kuna mchuano), Ubunge(Kuna mchuano) Urais(Mmoja kamtangulia mbele mwenzako zaidi, mchuano haupo!)
Losambo kuna kingine zaidi hapo. Tazama jinsi hizo Bendera hapo hatua ya mwanzo(Zimeshikana), kisha tazama hizo bendera hatua ya mwisho kabisa zimeachana halafu Bendera ya MABADILIKO imepaa zaidi na
Zaidi.
Upo sahihi,hizo bendera ameziweka kulingana na muda,kuanzia kampeni lizivyoanza mpaka sasa!pia theory nyingine ni mchuano wa vyama kwenye udiwani,ubunge na mwisho urais,