Masoud Kipanya anakaribia kuwa jipu...

Wakuu,kwa Muda mrefu toka Mh Rais JPM ashike usukani nimekuwa nikifuatilia vibonzo vya Masoud Kipanya ambavyo 99% hua vinakosoa Utendaji wa Mh,.Nionavyo mm si muda mrefu Oparesheni Itamhusu...

kama kitu haujaelewa kuliko kujidhalilisha bora uulize!

umetokota
 
Kipanya ni mwandish mcha mungu anaejua mipak ya din yake c kama wale waandish wacheza kwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…