Masoko ya mahindi Tanzania (Naombeni Msaada)

Sweetlol

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
102
Reaction score
24
Jaman wapendwa anaejua masoko ya mahindi Tanzania hususani Dar es salaam anisaidie saivi. Wapi wananunua na kwa bei gani saizi.
 
500 hadi 530 per kg; market price; una tani ngapi?
 
Back
Top Bottom