Maskini, wamemtorosha . . .

pole, kufukuza sio dawa, mkanye kwa maneno, .mwambie ubaya watu waume walivyo....
 
Yaani wewe ni lipakashume hadi umeshaota sharubu za waya.

Lipaka likila sana maileji linakua halina madhara....halina meno....nalina kucha ....halina.....
Halina tu...halina madhara!
 
Hahahahahaha...wanaendagaa mpaka mtaa wa 7

Heat si mchezo!
 
Mmh, usinitanie

Mipaka shume ya hivyo huwa hatari sana, siku vvinguvu vikija tu ni mjukuu anatengenezwa.

Lipaka likila sana maileji linakua halina madhara....halina meno....nalina kucha ....halina.....
Halina tu...halina madhara!
 
Ona sasa Arushaone ambavyo huna kifua!
Yaani kifua umekihamishia kinywani !
Wengi twaelewa usemavyo kumhusu Bishanga ndivyo ilivyo!
Mbaya zaidi alianza kumla KUKU na sasa MA'EGSI !
Sie tumechuna kiaiyna , umelisanua!
Wee noma mazee!
 
Last edited by a moderator:

Utu uzima dawa kaka mkubwa, mimi kama ni mpasuo napasua tu mkuu.
Ninyamaze nimyamazie nani mkubwa wangu?

Ni Bishanga?

No way!!!!
 
Last edited by a moderator:
Utu uzima dawa kaka mkubwa, mimi kama ni mpasuo napasua tu mkuu.
Ninyamaze nimyamazie nani mkubwa wangu?

Ni Bishanga?

No way!!!!

Shame!
Fullshame!
Ningekua mie , kwa kashfa hii , leo ningebadili Id!
Lakini hili jamaa mshipa wa aibu haupelekagi taarifa sahihi kwenye Medulla! Utaliona tu hapa na uso mkavu! Kaa Ngariba wa kikurya anaewanyofoa wanawari vigori "ving'amuzi" vyao.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yenu, Bishanga hana mdomo wa kulia. Hata ulimi wa kulambia hana

Kama kula, labda kwa macho

Ona sasa Arushaone ambavyo huna kifua!
Yaani kifua umekihamishia kinywani !
Wengi twaelewa usemavyo kumhusu Bishanga ndivyo ilivyo!
Mbaya zaidi alianza kumla KUKU na sasa MA'EGSI !
Sie tumechuna kiaiyna , umelisanua!
Wee noma mazee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…