Maskini, wamemtorosha . . .

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
Nna kibinti(kiko 16yrs) cha paka wangu kizuri, cheupe dawa. Nakipa maziwa na mara moja moja samaki ili kitulie home.

Huwezi amini kimetoroshwa tangu juzi na li-mbaba la nyau(around 67yrs), jeusi afu lipakashume. Limemgegeda hadi kavunjika paja, sijui ilikuwaje. Ndio anarudi sasa hivi home, kakonda, anatembea kama kinyonga.

Nifanyeje atulie home? Hii sio mara ya kwanza kutoroka ila alikuwa hajawahi kulala nje.

Amaaa kweli mnyama haishi kwa msosi tu.
 
Hahahahaha nyau hata umuweke geti kali vipi atakuwa tu na vidume....ujitaarishe na wajukuuu
 
Basi si atafute walau anayemuwahisha home? Walau agemate and suramate? Afu sijui huyo wake kama apata chanjo.

Hahahahaha nyau hata umuweke geti kali vipi atakuwa tu na vidume....ujitaarishe na wajukuuu
 
jamani..pole sana
anza tu kukapa vidonge vya uzazi wa mpango..maana kataongeza nchi muda si mrefu
 
Hhahahaaha usimfukuze mkanyee tu....muulize yeye kama anatumia ndomu au laaa.
 
Sio suala la kucheka, nna huzuni

Issue ni kwamba huo mswaki kalikopigishwa na huyo kimburu , mswaki umezungukwa na kila aina ya utamu!
Mswaki ambao ukishaonjwa , kamwe haupeanwi mgongo!
Si kwa Nyau tu! Hata kwa wamiliki Nyau!
Hurejelewa tena na tena!
Hakika kanuni haibadilishiki.
 
Hata ukimpa chakula kizuri.... Kuna kitu ata miss huwezi wewe kumpa!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wamiliki? Najuuuta wewe kuingia. Sred hii

 
Gate Kali namna hio halifai. Siku mojamoja andaa party at least akutane na wenziwe both sex.
Apo utawajua marafiki zake wa maana, na wakwe zako pia.

Sa we ulijua kula tu pekee ishatosha? Ata mazoezi asifanye basi, si katapa presha na kisukari juu.
 
Basi wamekuchafua sana, watakuwa wasafishaji feki hao

Kwa nini @konnie? Wakati mi najiamini sina vimavi , lasti wiki nimemalizwa kusafishwa nyota na wataalamu wa Uvira na Ushzzumbura.
 
Itabidi nianzishe 'Paker Party', wavulana wanavaa vitai vidogo, wasichana vokofia na mkufu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…