Unoma gani huo mlio nao yanga acheni vituko ni lini nyie yanga mkatufunga mpaka mjidai hivyo, yaaani mwaka jana tu pamoja na kuwa na timu nzuri na simba kuwa vimeo bado mlishindwa kuifunga leo hii mnapiga kelele

Mkuu, watangazaji wakisema basi kwako wewe ndio kila kitu? Hukumbuki siku ile ya sare ya 3-3, hao hao watangazaji walisema yale mabao 5-0 yanarudi, lakini baada ya dakika 90 ubao ukasomeka 3-3 huku yanga wakipoteza muda mechi iishe? Pole sana kama kwako wewe reference ya hali halisi ni watangazaji wa Bongo!