Topic expired
ni mapito tu wana simba, ipo siku watatukubali!!!
Topic expired
Hutakiwi kuwapa pole,unakumbuka mwaka 1989 walikuwa wa ngapi?
Topic expired
<br />we mtoa mada.tulia uandike vizuri,hujatulia utadhani uko peke yako sebuleni ukajamba mara wakwe zako wakaingia na sebuleni hakuna hata mtoto wa kumsingizia......haya tuambie matokeo yalikuwa ngapi ngapi?
Wape pole kabisa hao jamaa na wanakaribishwa hata kwa mkopo azam kupoza machungu ya vipondo vya libolo na ushindi wa kubahatisha lakini msimu ukiisha warudi kwao wakajipange hahaha!polee zako mwana wa malkia wa nyuki..