Maskini Shilingi ya Tanzania!

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423

cc wafanyabiashara wote.
 
Kuna nchi zina uchumi mkubwa sana kutuzidi na bado zimeachwa mbali sana na dola, sisi tuna afueni...

Ni wazi tunategemea sana uingizaji wa bidhaa kuliko uuzaji nje ndio maana thamani ya fedha yetu yazidi kudorora...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…