Tunaitaji mtu mwenye maono huru ya kuliongoza taifa,,anaesema na kutenda,,mwenye kuapa kimoyo moyo kuwa kapewa dhamana ya kuliweka taifa letu kwenye list ya nchi tajiri dunia,,taifa lenye watu wasio na njaa,,watu huru wa kusema na kusikilizwa,,tunaitaji mtu ambae hata hajawahi kuwa ndani ya Serikali lakini aliyetokea dalaja la wakulima ama wafugaji mwenye kuhisi umaskini wa mkulima na shida za mfugaji/mkulima ni zake..Hatuwezi tolewa hapa kwa watu hawa walioko kwenye mfumo.