Simba sio sehemu ya ku-recycle viongozi! akatafute pa kujaribia uongozi..Ana uchu wa madaraka tu
Ni muda mrefu sasa Michael Wambura amekuwa akivutana na uongozi wa simba kwenye issue ya uchaguzi kwa muda mrefu sasa. Hii ni mara ya pili Wambura anawekewa pingamizi baada ya kufanikiwa kuchomea lile pingamizi alilowekewa mara ya kwanza. Nasikia kuna wanachama wamepeleka issue hii kunako CAS, na kuna hatari ya uchaguzi wa wa Klabu ya Simba kusimamishwa hadi kitendawili hiki kitakapoteguliwa.
Mtakumbuka kwamba mivutano kama hii imeanza kumuandama Michael tangu akiwa FAT (sasa TFF). Mimi sio mfuatiliaji mzuri wa mpira wa nyumbani Tanzania lakini namuomba Bw Maiko aachane na mambo ya mpira. Ndio. Kitumbua chake kwenye mpira kimeishaingia mchanga. Namshauri atafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kung'ang'ania kwenye mpira tu miaka yote. Kwani yeye aliandikiwa kwamba riziki yake ipo kwenye mpira tu?
Bw Maiko achana na biashara kichaa hiyo, haina tija kwako. Muda unaoupoteza ni bora ukautumia kujiajiri kwenye sekta nyingine ya kiuchumi. Hii sekta ya mpira imeishaingia shubiri.
Nawasilisha.

Tunajua mbinu zenu mwisho wa kutegea Simba iwatajirishe umefika, mtachonga sana Wambura mbele kwa mbele, eti ooo tunasajiri kimataifa timu yenu? Si mkasaji Lipuli huko,
Ungekuwa enzi za Mandela ungemshauri Mandela aachane na harakati za ukombozi? Changamoto anazopata wambura ni za kawaida sana kuliko wanazopata wanasiasa.waulize majimboni katika kutafuta ubunge
Tunajua mbinu zenu mwisho wa kutegea Simba iwatajirishe umefika, mtachonga sana Wambura mbele kwa mbele, eti ooo tunasajiri kimataifa timu yenu? Si mkasaji Lipuli huko,
hii issue haifanani na ubunge. ukishaukwaa ubunge, iwe kwa halali au haramu, hakuna mwananchi wa kukupindua hadi umalize kipindi chako cha miaka 5. sasa kama wambura akiforce akachukua uongozi simba (ijapokuwa hili jambo haliwezekani sasa) atakaa madarakani siku ngapi kabla ya kupinduliwa? mkuu, hebu soma kwanza alama za nyakati.
we nae unaasili ya india???
Au umeajiriwa na hao watu?
Mtatumiwa sana na wahindi,walioigeuza simba kitega uchumi
Ndumbaru je? Trekta?Wambura jembe
Ni muda mrefu sasa Michael Wambura amekuwa akivutana na uongozi wa Simba kwenye issue ya uchaguzi wa viongozi ktk klabu hiyo. Hii ni mara ya pili Wambura anawekewa pingamizi baada ya kufanikiwa kuchomoa lile pingamizi alilowekewa mara ya kwanza. Nasikia kuna wanachama wamepeleka issue hii kunako CAS, na kuna hatari ya uchaguzi wa wa Klabu ya Simba kusimamishwa hadi kitendawili hiki kitakapoteguliwa.
Mtakumbuka kwamba mivutano kama hii imeanza kumuandama Michael tangu akiwa FAT (sasa TFF). Mimi sio mfuatiliaji mzuri wa mpira wa nyumbani Tanzania lakini namuomba Bw Maiko aachane na mambo ya mpira. Ndio. Kitumbua chake kwenye mpira kimeishaingia mchanga. Namshauri atafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kung'ang'ania kwenye mpira tu miaka yote. Kwani yeye aliandikiwa kwamba riziki yake ipo kwenye mpira tu?
Bw Maiko achana na biashara kichaa hiyo, haina tija kwako. Muda unaoupoteza ni bora ukautumia kujiajiri kwenye sekta nyingine ya kiuchumi. Hii sekta ya mpira imeishaingia shubiri.
Nawasilisha.
Nahisi umetumwa wewe, mbona wakati wasajili hamjawahi kuwakataa hao wachezaji ndo kwanza mnawashangilia. WANAFIKI WAKUBWA NYIE.
Wambura mikael komaaa mpaka kieleweke.