Masista wanne wafariki ajali ya gari Mwanza

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Watu watano wakiwemo Raia watatu wa Kigeni wa nchi za Kenya na Italy Watumishi wa Mashirika ya Kanisa Katoliki, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa, baada ya gari dogo Toyota Land Cruiser namba T 852 DGP, mali ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Bukumbi waliyokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa uso na Lori namba T 541 DCH, lililokuwa na Tera lenye namba za usajili T 835 DCJ, mali ya Kampuni ya ujenzi ya Nyanza, tukio ambalo limetokea katika Kijiji cha Bukumbi wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Wilbroad Mutafungwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza chanzo chake.

Soma pia: Idadi ya vifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba vimefika 42

View attachment 3473462

Kwa maelezo yote hayo, kwani huyu afande alikuwapo hapo? Hivi ni nadra kwa malori kusababisha ajali?
 
Madereva wanaoendesha LC mda wote wanajiona wana haraka.
Sasa huyo alikuwa anaovertake hata mbele haangalii.
Ukiuliza alikuwa na mgonjwa hapana
kama walikuwa na haraka kuwahi airport wangeenda mapema zaidi

Huyo dereva wa Lori naye ni wenge tu kukimbia.mtu umegongwa upo kwenye site yako unakimbia nini
 
Mkuu wa shirika la masista hao duniani ni moja wapo wa walio fariki pamoja na katibu wake!
Nadhani dunia inaweza kutushangaa sana lakini basi tu!
Wamekufa wakiwa katika harakati za kuipigania imani, wajaliwe kupumzika kwa amani.
 
Back
Top Bottom