Masista duu wana mambo

Mnama

Platinum Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
3,560
Reaction score
3,861
Masista duu wana mambo kweli huku mjini;-

Cheki classification zoa wananikumbusha biology ya O level;

1. Fundi Chuma_ Huyu kazi yake ni moja tu aani kupiga mzigo mpaka kiu kishe siku genye zimepanda.

2.Kinyonga Maridadi_wa kwenda nae kwenye Outings ,Birthdays , Harusi na sherehe zinginezo lazima awe handsome.

3. Bwege_Huyu ndio mtoa hela anagharamia kila kitu including hao hapo juu wanaishi kwa fund zake akisepa nao hapo juu huwa wanapotea zao.
 
Masista du ndo uwa akina nani mbona sijawai kukutana nao
 
Hahaha haya wanaume wahongaji endeleeni na kuhonga tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…