Masingle tukutane hapa

Mimi kama wewe tu. Tofauti ni kuwa am a guy. JF ndo mpnz wangu kwasasa
 
Kama uko tayari kuwa mpangaji wa jela la segerea, Sio mbaya mkuu, endelea...
 
kuwa single ni kukosea????mbona mi naona km kuwa single kuna raha yake pia!

vijana tafuteni hobbies na angalau hela ya kula unachotaka,kuvaa unachotaka na kwenda unapopataka mjue raha ya kuwa single
 
Being single is now a disability. According WHO.
 
Sijui lini nami nitapata wakunipenda ili nisiwe single...
 
Napitia comments za wadau hapa maana kea ninayoiishi sasa natamani nimtimue huyu mke nibaki single tu,nasubiri mtoto ahitimu masomo yake tu
 
Nipo single kwa sababu pipe yangu inawashinda wanawake wengi kuihimili.
 
Daah.....huu upweke umenichosha sana i wish next year niingie maisha mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…