Masingle tukutane hapa

1) sina hela ya kuhonga
2) dhiki tu hakuna lingine
3) "tatizo ni umasikiniiii"
 
Mnajadili nn single lady, kwan kutokuwa kwenye mahusiano ni kosa c in maamuz tu, hata we ukiamua kuwa nae utakua nae tu. May be use na sura mbaya na huna chura.

Lakin kama mrembo unawac WAC gan, muda ukifika utampata alie sahihi kwako be smart
madam nimekupenda bure
 
Katoto kazuri na Mimi nipo single muda mrefu Sana Zaid ya mwaka niliachana na mchumba wangu nimeamua nisubiri kwanza mke mwema toka kwa bwana
wewe si umefunga ndoa na mapinduzi?
 
Sisi ma men single tunatumia sabuni na nyinyi wenzetu ma lady mnafanyaje?
 
Nenda Sudan pale buku 5 unapiga raundi 2 au 3 kwaisha habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…