Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 743
Dhulhijja ni mwez wa 12 ktk mwaka wa kiiskam, alhamdulillah leo 23/ agusust/2017 milladiyya ni sawa na tarehe 2 dhulhijja 1438 hijiriyya (kwa kalenda ya kiislsm). Cku ya jana hadi kutimia cku kumi zijazo kwa kufuatana ni ktk masiku bora ambayo muislam akifanya wema au ibada yoyote cjema atalipwa malipo makubwa tofauti na miez mingine.
Sala za sunna na faradhi, kusoma qur an, kufunga, tasbih, tahmid, tahlil n.k ni katika baadhi ya matendo mema yaliyihimizwa kufanya ndan ya cku hiz kumi.
Kwa upande mwingine kufanya madhambi ktk masiku haya ni kuikosesha fursa njema nafsi yako kwa kua haipatikan fursa hii icpokua mara moja kwa mwaka
Siku ya tisa ni siku ya arafa na siku ya kumi ni cku ya idi kubwa au idi ya kuchinja
[HASHTAG]#Kilala[/HASHTAG] kheri#
et al