mwanajamii mpya JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 554 Reaction score 446 Jul 22, 2018 #21 Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer.
Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,267 Reaction score 49,268 Jul 22, 2018 #22 Kiranga said: Watashindwa hata kumpata Jecha awafanyie mambo kweli? Click to expand... Hahahaaa Jecha mwenyewe keshashuka daraja tayari.
Kiranga said: Watashindwa hata kumpata Jecha awafanyie mambo kweli? Click to expand... Hahahaaa Jecha mwenyewe keshashuka daraja tayari.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,055 Reaction score 288,538 Jul 22, 2018 Thread starter #23 mwanajamii mpya said: Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer. Click to expand... kama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala
mwanajamii mpya said: Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer. Click to expand... kama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala
mwanajamii mpya JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 554 Reaction score 446 Jul 22, 2018 #24 Erythrocyte said: kama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala Click to expand... Sawa boss
Erythrocyte said: kama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala Click to expand... Sawa boss
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,055 Reaction score 288,538 Jul 31, 2018 Thread starter #25 kwaheri yanga
GREAT NAME JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,093 Reaction score 1,740 Jul 31, 2018 #26 wazee wa week
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,932 Reaction score 34,918 Jul 31, 2018 #27 Hapa ndio unaona NGUVU ya MATAJIRI. Kinikia limegusa MANJI kwa VISASI vyake koko tu watu maisha hayaendi kabisa kwa baadhi ya watu. - Yanga - Mashabiki wa Yanga - Wakulima wa Mbaazi - Waajiriwa QUALITY GROUP Zee la Vi-Wonder lenyewe busy linatapanya KODI na kina JOKATE
Hapa ndio unaona NGUVU ya MATAJIRI. Kinikia limegusa MANJI kwa VISASI vyake koko tu watu maisha hayaendi kabisa kwa baadhi ya watu. - Yanga - Mashabiki wa Yanga - Wakulima wa Mbaazi - Waajiriwa QUALITY GROUP Zee la Vi-Wonder lenyewe busy linatapanya KODI na kina JOKATE
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,055 Reaction score 288,538 Jul 31, 2018 Thread starter #28 Mkaruka said: Hapa ndio unaona NGUVU ya MATAJIRI. Kinikia limegusa MANJI kwa VISASI vyake koko tu watu maisha hayaendi kabisa kwa baadhi ya watu. - Yanga - Mashabiki wa Yanga - Wakulima wa Mbaazi - Waajiriwa QUALITY GROUP Zee la Vi-Wonder lenyewe busy linatapanya KODI na kina JOKATE Click to expand... Ohooooo !!!
Mkaruka said: Hapa ndio unaona NGUVU ya MATAJIRI. Kinikia limegusa MANJI kwa VISASI vyake koko tu watu maisha hayaendi kabisa kwa baadhi ya watu. - Yanga - Mashabiki wa Yanga - Wakulima wa Mbaazi - Waajiriwa QUALITY GROUP Zee la Vi-Wonder lenyewe busy linatapanya KODI na kina JOKATE Click to expand... Ohooooo !!!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jul 31, 2018 #29 mwanajamii mpya said: Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer. Click to expand... Sio TBL bhana
mwanajamii mpya said: Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer. Click to expand... Sio TBL bhana
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,360 Reaction score 5,846 Aug 1, 2018 #30 Erythrocyte said: kama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala Click to expand... Yanga kushuka daraja ni sawa na CCM kushindwa uchaguzi mkuu
Erythrocyte said: kama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala Click to expand... Yanga kushuka daraja ni sawa na CCM kushindwa uchaguzi mkuu
Omary Ndama JF-Expert Member Joined Apr 16, 2017 Posts 3,367 Reaction score 4,074 Aug 2, 2018 #31 Si ndivyo alivyotaka Jiwe, Simba itacheza na Katavi Rangers....kila kitu mnaleta siasa hizo ndo athari zake...
Si ndivyo alivyotaka Jiwe, Simba itacheza na Katavi Rangers....kila kitu mnaleta siasa hizo ndo athari zake...