Masikitiko - Chelsea kushuka daraja msimu ujao .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,666
239,166
Nimefanya uchunguzi miongoni mwa timu zilizopo kwenye ligi kuu ( PREMIER LEAGUE ) kwa sasa Nchini England , utabiri wangu hauiepushi chelsea na janga la kushuka daraja.

Ikiwa imesalia mechi moja tu , timu hii ina point 48 tu ! Hii ni dalili mbaya sana kwa msimu ujao .

wachambuzi wa mambo ya soka wanadokeza kwamba laana ya kudhalilisha makocha wa dunia nzima ndiyo inayoitafuna chelsea.

Wengine wanatabiri kwamba Antonio Conte ndiye Mwl wa kwanza miongoni mwa watakaotimuliwa msimu ujao, ukiangalia kwa makini wachezaji wa chelsea wamekata tamaa kabisa ! Na game ya jana dhidi ya Sunderland ni ushahidi wa wazi kabisa .

Kwaheri chelsea , kwaheri Abramovic , soka si kama biashara ya mafuta .
 
Chelsea kweli alikuwa na msimu mbaya ila kushuka daraja eti kisa wachambuzi wamesema huo ni upuuzi, mwanzo wa ligi hao hao wachambuzi 80% waliipa chelsea kuwa itabeba ubingwa ila kilichotokea ndio hicho tumekiona, kwahiyo habari ya kushuka daraja haiwezekani labda ungesema wataendelea kuwa na msimu mbaya
 
Back
Top Bottom