atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,809
Umenikumbusha matombo, huko mpaka supu ya utumbo wa nguruwe ipo nilishangaa sana aiseeMkuu ok. Kama 80 yanapatikana . where I am. Moro.matombo. msalabani. Ndani ndani
Unauzaje?Mkuuu na kitimoto zaidi ya mia mbili (200) naweza kupata soko bora ndani ya mwezi ujao?uzito ni kwanzia kilo 60 kwa kila nguruwe
huko pazuri,kuishiUmenikumbusha matombo, huko mpaka supu ya utumbo wa nguruwe ipo nilishangaa sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] supu ya utumbo wa nguruwe sijanywa aiseee hata niwe kwenye wakati mgumu vp...huko pazuri,kuishi
Hata mimi mkuu Ila umenichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] supu ya utumbo wa nguruwe sijanywa aiseee hata niwe kwenye wakati mgumu vp...
Sent using Jamii Forums mobile app
Walinishangaza sana aiseee,nyama ya kitimoto japo imani yangu inaniruhusu kutumia lkn bado si ikubali kbs,mkuu ukitembea vijiji vya ndani ndani huko watu wanakula vitu ajabu sana
Kwa hiyo tuwakate masikio alafu wabaki bila?
Una wafuga wapi mkuu msaada wa picha?Mkuuu na kitimoto zaidi ya mia mbili (200) naweza kupata soko bora ndani ya mwezi ujao?uzito ni kwanzia kilo 60 kwa kila nguruwe
Kasungamile hii ya sengerema?Poa. Njoo kijijini kasungamile uliziia mzee izugwandama