Masikio kuwasha, nitatizo?

Masikio kuwasha, nitatizo?

mwanaupepo

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
98
Reaction score
22
Salamu wakuu.
Naamini bado tunaendelea kuomboleza kwa kutokwa na kijana na mwanasiasa shupavu alie pendwa karibia na na watu wote ndani na nje ya Ludewa bila kuzingatia utofauti wetu wa kiitikadi mbalimbali ikiwemp ya kivyama. Tumuombee kwa Mungu ampuzishe kwa amani. Amina.

Leo napenda kupata mchango juu ya hili swala linalo nisumbua la masikio kuwasha. Nahisi kwa sasa linataka kupita kawaida, maana naweza tumia ear pad zaid ya mara 2 kwa siku na ikitokea nimeikosa mahali nilipo naweza jikuta nakosa raha kabisa au kutumia chochote kinachoweza ingia sikioni.
Kwa upande wangu siipendi hii hali ingawa hua napata raha sana nnapotokea kupata cotton pad kwa wakati.

Kwa wenye uzoefu na/au taaluma na tatizo hili napenda kujuzwa chanzo chake pamoja na tiba.

Asanteni.
 
Mwisho lini kutumia dawa ya minyoo? Jaribu sometimes minyoo wakikaa muda mrefu they tend kuanza kuwasha maeneo yenye openings mfano masikio au maeneo ya haja kubwa. Unaweza fanya vipimo vya choo chako pia just to confirm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom