BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Ukifa unaenda kwa Mungu, una lingine?ukiwa mzima eti umelindwa na MUNGU !
je ukifa ??
Daa huu ni ukweli mtupuuuTuliokulia vijijini tunafahamu jinsi maisha yetu yalivyo ya shida, wenye hali nzuri huwa wanakula atleast mara mbili kwa siku huku wengi tuliishia kula mara moja kwa siku na bado tunafanya shughuli ngumu.
Pamoja na kushinda muda mwingi bila kula chakula lakini watu wengi masikini haumwi vidonda vya tumbo.
Tofauti na wale wa hali ya kati na juu ambao kuna wakati wanaweza kula hata zaidi ya mara tatu lakini wao ndio wanaongoza kwa kuumwa vidonda vya tumbo.
Sisi masikini tunakushukuru sana Mungu kwa kutulinda kinyume na hapo masikini tungekufa sana
mungu amekulinda piaukiwa mzima eti umelindwa na MUNGU !
je ukifa ??
kwa bahati mbaya hujakaa vijijini ila unasikiliza hadithi za vijiweni, usiombe yakukutekijiji gani hicho unakula mara moja kwa siku? labda upareni. vijiji vyakula viko vingi waweza kula hata mara 4 kwa siku?
MUNGU ametwaa kilicho chake imeandikwa kila BINADAMU atakufaukiwa mzima eti umelindwa na MUNGU !
je ukifa ??
Tena wasio na uwezo wa kifedha(sio maskini,maskini ni mlemavu wa viungo au asiye na viungo)wanaishi maisha marefu sana.Naomba ukumbuke kwamba hiyo kazi unayoidharau ina faida kubwa mno ya kuuweka mwili wako physically fit,kamwe usiidharau.Laiti ungejua kwamba watu wasio na uwezo wa kifedha na watu wa vijijini hawaugui sana magonjwa ya kijinga kama sukari,pressure,cancer nk.Kwa nini?Kwa sababu magojwa haya yanatokana na ulaji wa vyakula visivyofaa na kukosa mazoezi.Kwa vile watu wengine wa vijijini wanakula vyakula vya asili na wanafanya kazi sana,si rahisi kupata magonjwa kama kisukari nk..Mimi magonjwa haya nayaweka kwenye kundi la utapia mlo,kwa kuwa yanatokana kwa kiasi kikubwa na ulaji wa vitu visivyo faa.Tuliokulia vijijini tunafahamu jinsi maisha yetu yalivyo ya shida, wenye hali nzuri huwa wanakula atleast mara mbili kwa siku huku wengi tuliishia kula mara moja kwa siku na bado tunafanya shughuli ngumu.
Pamoja na kushinda muda mwingi bila kula chakula lakini watu wengi masikini haumwi vidonda vya tumbo.
Tofauti na wale wa hali ya kati na juu ambao kuna wakati wanaweza kula hata zaidi ya mara tatu lakini wao ndio wanaongoza kwa kuumwa vidonda vya tumbo.
Sisi masikini tunakushukuru sana Mungu kwa kutulinda kinyume na hapo masikini tungekufa sana
kula yangu ni ya shida sana...tokea mwaka umeanza nimeandamwa na majanga yaliyo nizidi uwezo, sina furaha, mwili unadhohofika kwa njaa, mawazo kila saa...huu uzi mpaka nahisi unanihusu mim...kwa kweli naelekea kukata tamaa..
Dah mkuu...nataman sna nikujibu...lakin ni story ndefu kidogo....niamin tu nilichoandika...kwa sasa nipo ktk majanga..Mwaka jana ulikuwa unakulaje kwani?
Dah mkuu...nataman sna nikujibu...lakin ni story ndefu kidogo....niamin tu nilichoandika...kwa sasa nipo ktk majanga..