Masikini CUF Zanzibar, hata wanaCHADEMA wameanza kuwasaliti

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
CUF hawakuelewa vizuri ule msemo ambao ulitumiwa sana na wanaCHADEMA wakati wa makaribisho ya Edward Lowassa na genge lake ndani ya CHADEMA.

WanaCHADEMA walikuwa wanasema, Hakuna Marafiki au Maadui wa Kudumu Katika Siasa (No Permanent Friends or Enemies).

WanaCHADEMA walituambia wamemkaribisha Lowassa na genge lake kwa sababu maslahi ya Lowassa na CHADEMA yalikuwa kuingia Ikulu kwa gharama zote pamoja na kuwa huko nyuma walikuwa maadui wakuu katika msingi wa principle, policy and political will.

CUF Zanzibar bila kushirikisha fikra pana wakajikuta wanaingia kwenye mtego huo wakidhani wamepata marafiki wa kudumu. This was a potentially fatal mistake and the beginning of the end for CUF Zanzibar as dominant and active political party.

Wakati CUF Zanzibar wanataka CHADEMA iwasaidie ili viwekwe vikazo vya kiuchumi Zanzibar, CHADEMA wako bungeni actively wanapitisha mafungu ya pesa kutoka Tanganyika ziende Zanzibar kwa ajili ya kuhudumia ofisi za Rais, Makamu wa Rais, Mawaziri na Balaza la Wawakilishi

Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 katika Bunge la Tanzania, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba, alisema katika mwaka huu wa fedha, wizara yake ilipeleka Zanzibar jumla ya Sh bilioni 27.5 hadi kufikia Machi mwaka huu kama mgawo wa fedha kwa Serikali ya Zanzibar. Alisema fedha hizo ni kwa ajili ya PAYE ambazo ni Sh bilioni 14, faida ya BoT Sh billion 3, Sh milioni 621.9 kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya jamii na pia gawio la misaada ya kibajeti Sh bilioni 9.974 kutoka kwa nchi washirika wa maendeleo kama Nchi za Ulaya na USA ambazo jumla ziko nchi 17.

Kimantiki CHADEMA wanawaambia CUF Zanzibar, shut up and go to political hell.

CHADEMA has abandoned CUF Zanzibar at a time when they need them most!

Kwa maana nyingine, Pamoja na Lowassa kumshauri Maalim Seif agomee uchaguzi wa marudio, CHADEMA kwa sasa haina maslahi tena na CUF Zanzibar baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika.

Wazanzibari pia wameishachoka na wanasiasa wanao legitimize “the science of killing” by using them in order to achieve a political aims and political domination.

CUF has to fight a losing battle at their own risk or keep on dying softly.

Ama kweli, Politics is a dangerous and dirty game, and truth is not necessarily fair game.
 
Uchonganishi na unafiki huu , Bungeni Dodoma mbona CUF nao wapo na aliyesoma hotuba ya Muungano ni ALLY SALEH mbunge wa CUF ? Au hujui kuwa Bungeni kuna wabunge 44 wa CUF na wako upande wa upinzani ? Acha unafiki huu na uchonganishi wa kitoto.

Kama huna taarifa sahihi uliza uelimishwe .
 
CUF kilianza kukua kabla ya CDM.....they will find a way to stand again.......
Maybe, Someone once said, “You can never make the same mistake twice because the second time you make it, it's not a mistake, it's a choice.”
 
CUF hawakuelewa vizuri ule msemo ambao ulitumiwa sana na wanaCHADEMA wakati wa makaribisho ya Edward Lowassa na genge lake ndani ya CHADEMA.

WanaCHADEMA walikuwa wanasema, Hakuna Marafiki au Maadui wa Kudumu Katika Siasa (No Permanent Friends or Enemies).

WanaCHADEMA walituambia wamemkaribisha Lowassa na genge lake kwa sababu maslahi ya Lowassa na CHADEMA yalikuwa kuingia Ikulu kwa gharama zote pamoja na kuwa huko nyuma walikuwa maadui wakuu katika msingi wa principle, policy and political will.

CUF Zanzibar bila kushirikisha fikra pana wakajikuta wanaingia kwenye mtego huo wakidhani wamepata marafiki wa kudumu. This was a potentially fatal mistake and the beginning of the end for CUF Zanzibar as dominant and active political party.

Wakati CUF Zanzibar wanataka CHADEMA iwasaidie ili viwekwe vikazo vya kiuchumi Zanzibar, CHADEMA wako bungeni actively wanapitisha mafungu ya pesa kutoka Tanganyika ziende Zanzibar kwa ajili ya kuhudumia ofisi za Rais, Makamu wa Rais, Mawaziri na Balaza la Wawakilishi

Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 katika Bunge la Tanzania, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba, alisema katika mwaka huu wa fedha, wizara yake ilipeleka Zanzibar jumla ya Sh bilioni 27.5 hadi kufikia Machi mwaka huu kama mgawo wa fedha kwa Serikali ya Zanzibar. Alisema fedha hizo ni kwa ajili ya PAYE ambazo ni Sh bilioni 14, faida ya BoT Sh billion 3, Sh milioni 621.9 kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya jamii na pia gawio la misaada ya kibajeti Sh bilioni 9.974 kutoka kwa nchi washirika wa maendeleo kama Nchi za Ulaya na USA ambazo jumla ziko nchi 17.

Kimantiki CHADEMA wanawaambia CUF Zanzibar, shut up and go to political hell.

CHADEMA has abandoned CUF Zanzibar at a time when they need them most!

Kwa maana nyingine, Pamoja na Lowassa kumshauri Maalim Seif agomee uchaguzi wa marudio, CHADEMA kwa sasa haina maslahi tena na CUF Zanzibar baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika.

Wazanzibari pia wameishachoka na wanasiasa wanao legitimize “the science of killing” by using them in order to achieve a political aims and political domination.

CUF has to fight a losing battle at their own risk or keep on dying softly.

Ama kweli, Politics is a dangerous and dirty game, and truth is not necessarily fair game.

Umemsikiliza Nahodha alichokisema Bungeni
 
Back
Top Bottom