B Brbm Member Joined Apr 16, 2014 Posts 71 Reaction score 6 Apr 17, 2014 #1 Dah mwaka huu kwangu ilikuwa majanga tu, Man United mapema tu ikatoka kwe mbio za ubingwa,Simba ndo yale yale,Chama langu la miaka yote Pamba ndo likashuka na daraja kabisaaaaa.Hapo ndo unaona raha za ushabiki wa mpira
Dah mwaka huu kwangu ilikuwa majanga tu, Man United mapema tu ikatoka kwe mbio za ubingwa,Simba ndo yale yale,Chama langu la miaka yote Pamba ndo likashuka na daraja kabisaaaaa.Hapo ndo unaona raha za ushabiki wa mpira
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,028 Reaction score 168,651 Apr 17, 2014 #2 Sasa Pamba imetinga daraja la ngapi tena?? La sita?