Kuna makocha wawili tu Duniani wanaojua kusuka ukuta mgumu kwa Sasa...wa kwanza ni Diego Simeon na wa pili ni mkongwe Jose mourinho, Na hao ndo wanaosumbua timu zinazopiga pasi nyingi......!!!! ninachotaka kusema ni kuwa Atletico ikimpiga Real inanyanyua ndoo...na kama Real ikimpiga atletico na ispokutana na Barcelona itanyanyua ndoo kwa mara ya pili mfululizo....watu watasema ni mda mrefu timu hazichukui ndoo mfululizo lakini nashawishika kusema kuwa ndo maana rekodi zinavunjwa....!!!! KOMBE LINAENDA SPAIN....!!! tutakutana kwenye jukwaa may 10 πeace:πeace:πeace: