Masikini barca!

Poleni sana!Mpira hamjui nyie mpaka mpate msaada wa refa!!
 
Mkuu Earthmover kama jana ilikuwa
Sendoff leo ni Harusi yenyewe
na imefana kweli kweli.
 
Nadhani ubora wa Pombe ni kulewesha
Leo Baca kanywa Bavaria 3 tu hoi.....
 
Nadhani ubora wa Pombe ni kulewesha
Leo Baca kanywa Bavaria 3 tu hoi.....


Halafu palepale kibarazani kwao...
Hapo ndo napoikumbuka ile habari ya Changudoa aliefia gesti...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…