Dstv ndiyo mwisho wa matatizo
Hivi hii huwa inasaidia mkuu???Dawa yake ni kuweka kizuizi kinachozuia maji kufika kwenye kile KIPOKEA MAWIMBI.
Ku band LNB, ndiyo matatizo yake mvua ikinyesha kubwa ni lazima ikate mawasiliano, sasa iwe wakati utaangalia habari, du unakasilika hadi basi, ndiyo maana mimi kwangu nimefungua pia dish kubwa kwa ajili ya C band local channels, mvua ikipamba moto nahamia dish la C band, hapo hata ya mawe hazikati.DStv nayo inasumbua sema mvua ikiwa kubwa lazima kustack ikipungua mambo yanakuwa mazuri.
Kwakweli king'amuzi cha Zuku inabidi nikipumzishe, hakuna namna. Yaani tumatone kidogo tu twa mvua inakata kabisa hadi kero. Jana nimelazimika kutafuta CD, nimehangaika kwenye maboksi angalau mi na familia yangu tusiboreke hadi nikalazimika kuangalia bongo movie. Bahati nzuri dada wa kazi alikua ameazima wapi cjui.
Kweli nawatema Zuku, tutaonana tena June maana hamkawii kupiga simu kuniuliza mbona nimeacha kulipia. Subirini masika iishe.
Back to Dstv Bomba!
MKUU ukienda Azam utakua umeruka mkojo alaf ukakanyaga mkojo,,,bora ubaki ukouko tuuu!!!!duh kumbe ni shida ivo.ngoja tu nijipange bas kununua kadstv kanguu...vp cha azam hakina matatzo mkuu?
Hilo ndio janga kuliko hata zuku, jana nilitaka nicheki game ya kichwa cha mwenda wazimu vs zimbambwe lol....... Niliangalia dk 8 tu za mwishoduh kumbe ni shida ivo.ngoja tu nijipange bas kununua kadstv kanguu...vp cha azam hakina matatzo mkuu?
duh ase,Mungu sasa ntafanyej jaman mie..Hilo ndio janga kuliko hata zuku, jana nilitaka nicheki game ya kichwa cha mwenda wazimu vs zimbambwe lol....... Niliangalia dk 8 tu za mwisho
kwahiyo tuseme wewe point uliyoiona hapo ni kuusu housgirl/cdAlie muazima housegirl badu hujamjua?
interesting..
aseee...MKUU ukienda Azam utakua umeruka mkojo alaf ukakanyaga mkojo,,,bora ubaki ukouko tuuu!!!!
startimes ni kichefuchefu.karibu star times mkuu