duka lipo swahili plaza, kariakoo. mtaa ni swahili na narung'ombe.Mazuri mnapatikana wapi
tunauza mashuka jumla na reja reja ya cotton ambayo yametengenezwa hapa hapa Tanzania.
kwenye mfuko mmoja kunakaa mashuka mawili na foronya 4, ukubwa wa mashuka ni inch 90 kwa 100 ambayo ni approximately kama futi 7 na nusu kwa 8 na nusu, mashuka haya yanaweza kutandika hadi kitanda cha futi 6 kwa 7.
kwa box 1 bei ni 464,000 ambayo ni sawa na 29,000 kwa kila mfuko wa shuka.
bei ya jumla ya kawaida ni 30,000 kwa kila mfuko wa shuka
bei ya reja reja ni 35,000 kwa kila mfuko wa shuka.
hizi ni baadhi ya picha za mashuka
View attachment 1269261View attachment 1269262View attachment 1269263View attachment 1269264View attachment 1269265View attachment 1269266View attachment 1269267View attachment 1269268View attachment 1269262View attachment 1269263View attachment 1269264View attachment 1269265View attachment 1269266View attachment 1269268View attachment 1269269
mawasiliano 0715696962
Ndio yapo kuna design tofauti kama.Mimi naulizia yale MASHUKA YA WANAFUNZI wa Boarding, Pink kwa girls na light blue kwa boys! Mnayo?'
Best quality 60,000 na shuka linakuwa kubwa futi 8 kwa 9 almost king size.Mazuri.
Nilitaka kuulizia mashuka yenye dark colours iwapo yanapatikana.
Mfano dark blue, grey, brown, black etc
NiPm namba yakoNdio yapo kuna design tofauti kama.
Nida plain haya reja reja tunauza 5000 kwa shuka, ni bei rahisi lakini material sio mazuri na hayaji na foronya. Wanaita mtelezo mtaani linakaa shuka moja tu.
Kuna Giga plain haya yanakaa mashuka 2 na foronya mbili bei reja reja ni 15,000 quality inaongezeka kidogo.
Pia yapo mashuka ya Twiga na Kairui ambayo yanakuwa regarded kama best nayo yanakaa mawili na foronya 2 bei ni around 13,000 mpaka 15,000 pia.
nashindwa kuku pm mkuu, ila mawasiliano yapo kwenye uziNiPm namba yako
Mbona hakuna mawasiliano yeyote? Unaleta UJEURI kwenye biashara yako mwenyewe? Ama umelazimishwa tu, na sasa umeamua kuharibu?nashindwa kuku pm mkuu, ila mawasiliano yapo kwenye uzi
Kama huyaoni mawasiliano na kukosea watu adabu unaweza sina la kukusaidia.Mbona hakuna mawasiliano yeyote? Unaleta UJEURI kwenye biashara yako mwenyewe? Ama umelazimishwa tu, na sasa umeamua kuharibu?
Mimi nimesha IPUUZA biashara yako kitambo, haiwezekani muuzaji ukawa JEURI NA MBABE kiasi hiki. Nikipata tatizo lolote baada ya kununua hizo bidhaa zako si ndio jeuri itaongezeka zaidi? Kila la kheri.Kama huyaoni mawasiliano na kukosea watu adabu unaweza sina la kukusaidia.