dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
😎 Aisee!Hongera sana ila sitasahau nilimununulia ndg yangu kijjjini si akashona shati yeye na watoto wake. Halafu wakaja ugeni kwangu wamevaa.
Sio mbaya kubadilisha matumizi
Asante sana!! MkuuKila la heri mkuu
Ni nzito (cotton)Ni material nzito au nyepesi? Weka bayana ili nikiagiza ikaja nyepesi nakurudisha nayo bila hata nauli
Wewe! Si una toa kwa Waturuki karibu na CBENauza mashuka size 7/7 ya Pamba
Sifa zake
1.Shuka Mbili
2.Foronya Mbili
3. Tsh 25,000 nakuletea mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar.
Kama upo Mkoani natuma au kama una ndugu/jamaa naweza kumpelekea.
Namba yangu 0657438581 ipo pia WhatsApp. Karibuni
King size ni aina ipiKing size unazo shuka
Kazi ni kipimo cha utu