Habra Dokta.Mimi nipo Toronto,Canada lakini ni mwenyeji na mzaliwa wa Zanzibar.najishuhulisha na ununuwaji na utumaji wa bidhaa tofauti kati ya Toronto na Zanzibar.Uko wapi? Je kwa Mimi niliyemgeni kwenye biashara hiyo nahitaji mashine gani kwa kazi ya kuchana, kulanda, kuchonga nk. na ni bei gani??
Hongera mkuu, ungetaja bei pia mkuu
Safi sana ya kuchana gogo bei gani
Tutakutafuta mkuu.