K kdany Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 149 Reaction score 25 Apr 5, 2015 #1 Wakuu habari, nahitaji mashine za kutengenezea mazulia kwa hapa Dar. Ni sehemu gani naweza kupata. Natanguliza shukran
Wakuu habari, nahitaji mashine za kutengenezea mazulia kwa hapa Dar. Ni sehemu gani naweza kupata. Natanguliza shukran
K kimbisi mbisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 508 Reaction score 132 Apr 5, 2015 #2 Mashine au sindano?
K kdany Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 149 Reaction score 25 Apr 6, 2015 Thread starter #3 kimbisi mbisi said: Mashine au sindano? Click to expand... mashine itakua poa mkuu ..Sindano znapatkana wap na kwa bei gn
kimbisi mbisi said: Mashine au sindano? Click to expand... mashine itakua poa mkuu ..Sindano znapatkana wap na kwa bei gn
K kimbisi mbisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 508 Reaction score 132 Apr 6, 2015 #4 Sindano ni sh elfu 25,ni sindano maalumu kwa kutengeneza carpets, kuna jamaa anazo, ukihitaji naweza kumtafuta, ila mashine sijui zilipo.
Sindano ni sh elfu 25,ni sindano maalumu kwa kutengeneza carpets, kuna jamaa anazo, ukihitaji naweza kumtafuta, ila mashine sijui zilipo.
Gabrielgoodluck Member Joined Dec 7, 2017 Posts 19 Reaction score 5 Dec 21, 2017 #5 mimi nipo moshi na nina uhitaji wa sindano nitazzipata wapi kwa hapa moshi na ni bei gani
B Beatus david Member Joined Oct 31, 2017 Posts 27 Reaction score 9 Dec 21, 2017 #6 Gabrielgoodluck said: mimi nipo moshi na nina uhitaji wa sindano nitazzipata wapi kwa hapa moshi na ni bei gani Click to expand... Wewe wa Moshi nenda hapo viwanja vya hindu mandal hapo chini ya stand ya mabasi kuna maonyesho ya sido yanafanyika hapo kuna watu wako hapo wanaziuza maonyesho yanaisha kesho Ijumaa
Gabrielgoodluck said: mimi nipo moshi na nina uhitaji wa sindano nitazzipata wapi kwa hapa moshi na ni bei gani Click to expand... Wewe wa Moshi nenda hapo viwanja vya hindu mandal hapo chini ya stand ya mabasi kuna maonyesho ya sido yanafanyika hapo kuna watu wako hapo wanaziuza maonyesho yanaisha kesho Ijumaa
Gabrielgoodluck Member Joined Dec 7, 2017 Posts 19 Reaction score 5 Dec 23, 2017 #7 Nimekosa wapi tena naweza pata
Bongo Trust JF-Expert Member Joined Apr 23, 2017 Posts 253 Reaction score 249 Jun 14, 2022 #8 kimbisi mbisi said: Sindano ni sh elfu 25,ni sindano maalumu kwa kutengeneza carpets, kuna jamaa anazo, ukihitaji naweza kumtafuta, ila mashine sijui zilipo. Click to expand... Nipo Tanga Korogwe nahitaji sindano mkuu
kimbisi mbisi said: Sindano ni sh elfu 25,ni sindano maalumu kwa kutengeneza carpets, kuna jamaa anazo, ukihitaji naweza kumtafuta, ila mashine sijui zilipo. Click to expand... Nipo Tanga Korogwe nahitaji sindano mkuu