Hamilock69 Member Joined Dec 28, 2017 Posts 6 Reaction score 2 Mar 7, 2018 #1 Wapendwa, kwa anaefahamu ninapoweza kupata mashine za kushonea za kutumia Mkono wanapouza kwa bei ya jumla, unahitaji kufanya biashara. 0786133399
Wapendwa, kwa anaefahamu ninapoweza kupata mashine za kushonea za kutumia Mkono wanapouza kwa bei ya jumla, unahitaji kufanya biashara. 0786133399
sizonjemadawa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 1,052 Reaction score 1,306 Mar 7, 2018 #2 Hamilock69 said: Wapendwa, kwa anaefahamu ninapoweza kupata mashine za kushonea za kutumia Mkono wanapouza kwa bei ya jumla, unahitaji kufanya biashara. 0786133399 Click to expand... Dah kushonea nini?? Yaani hata hujaeleweka
Hamilock69 said: Wapendwa, kwa anaefahamu ninapoweza kupata mashine za kushonea za kutumia Mkono wanapouza kwa bei ya jumla, unahitaji kufanya biashara. 0786133399 Click to expand... Dah kushonea nini?? Yaani hata hujaeleweka
N narumuk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 2,965 Reaction score 3,595 Mar 7, 2018 #3 Sema wewe unahitaji kufanya biashara siyo sisi
Jini Kisiranii JF-Expert Member Joined Feb 20, 2018 Posts 2,021 Reaction score 2,455 Mar 7, 2018 #4 Dah nliziona bangarole hizi sema nikuagizie nauza elf 30rejareja ama 25 jumla
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,962 Mar 8, 2018 #5 Jini Kisiranii said: Dah nliziona bangarole hizi sema nikuagizie nauza elf 30rejareja ama 25 jumla Click to expand... Weka picha mkuu. Na hiyo bei ni mpaka inafika hapa au kuna malipo ya ziada...?. Na pia, mtu akipata bidhaa ndio anakulipa au anatoa kwanza pesa then bidhaa baadae...? Inachukua muda gani kufika kwa mteja...? Ahsante Sana.
Jini Kisiranii said: Dah nliziona bangarole hizi sema nikuagizie nauza elf 30rejareja ama 25 jumla Click to expand... Weka picha mkuu. Na hiyo bei ni mpaka inafika hapa au kuna malipo ya ziada...?. Na pia, mtu akipata bidhaa ndio anakulipa au anatoa kwanza pesa then bidhaa baadae...? Inachukua muda gani kufika kwa mteja...? Ahsante Sana.
Jini Kisiranii JF-Expert Member Joined Feb 20, 2018 Posts 2,021 Reaction score 2,455 Mar 8, 2018 #6 Ni kadogo kama stapler machine
Jini Kisiranii JF-Expert Member Joined Feb 20, 2018 Posts 2,021 Reaction score 2,455 Mar 8, 2018 #7 Hiyo hapo, nlibakiza moja tu maana nlirudi nazo kama 60 hivi