Bossprota JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 336 Reaction score 374 Mar 29, 2024 #1 Habari wakubwa!!! Nahtaji kujua bei ya mashine ya kuprint mifuko ya mazao kama Michele mpunga mahindi unga nk na mawasiliano kama Kuna Mtu anajua
Habari wakubwa!!! Nahtaji kujua bei ya mashine ya kuprint mifuko ya mazao kama Michele mpunga mahindi unga nk na mawasiliano kama Kuna Mtu anajua
Fuqin JF-Expert Member Joined Dec 2, 2018 Posts 306 Reaction score 629 Nov 2, 2024 #2 Mimi ninayo nafanyia kazi kama unataka nikuagizie gharama ml 25 mpaka Tanzania unachukua mashine yako
Mimi ninayo nafanyia kazi kama unataka nikuagizie gharama ml 25 mpaka Tanzania unachukua mashine yako
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,826 Reaction score 9,645 Nov 2, 2024 #3 Unataka rangi ngapi? Njoo PM tuyajenge. Tuna deal na mashine za Printing. Zingine tayari zipo warehouse hapa nchi zingine ni za kuagiza. If interested ni PM.
Unataka rangi ngapi? Njoo PM tuyajenge. Tuna deal na mashine za Printing. Zingine tayari zipo warehouse hapa nchi zingine ni za kuagiza. If interested ni PM.